• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    DIAMOND :WCB KUUZA NYIMBO ZA ALIKIBA


    Diamond amethibitisha kuwa anamheshimu Alikiba na hana tatizo naye. 

    Hitmaker huyo wa Marry You amesema hayo Jumanne hii wakati alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV.

    “Mimi sina tatizo na Alikiba ni mtu ambaye ninaheshimiana naye. Nimemfahamu kupitia dada yangu Queen Darleen,” amesema Diamond.
    “Nilikutana na jamaa Nairobi tukazungumza naye maneno yapo yanasemwwa na watu katikati baadhi baadhi ya media wanachochea tu. Sijawahi kuwa na matatizo naye ni chokochoko tu za watu, menejimenti yangu pia inajaribu kuongea na wao waje kuuza muziki wao kwetu,” ameongeza.
    Muimbaji huyo amesisitiza kuwa Joseph Kusaga ni mmoja kati ya watu ambao wanatamani kuona akifanya kazi pamoja na Kiba na sio kuchonganishwa ili kuwepo na uhasama kati yao.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad