• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    Dayna Nyange: Kazi yangu ijayo imefanywa tena na Mr T Touch


    Baada ya kufanya kazi takribani tatu mfululizo na mtayarishaji wa muziki nchini Mr T Touch, Dayna Nyange amethibitisha kuwa hata nyimbo yake inayokuja imefanywa na producer huyo.

    Hitmaker huyo wa Komela, amesema yeye na Touch wanafanya kazi nyingi pamoja na bado hajafikiria kufanya kazi na mtayarishaji mwingine kwa sasa.
    “Wimbo wangu ujao ninaweza nikasema ndio umefanywa na T Touch kwa sababu ni mtu ambaye ninafanya naye kazi nyingi. Sijafikiria kubadilisha producer kwa sasa, tegemeeni kazi nyingi kutoka kwa Touch lakini kama kutakuwa na mabadiliko yoyote nitawaambia,” amesema Dayna.
    Kwa sasa Dayna anafanya vizuri na video ya wimbo wake wa ‘Komela’ ambao ameuachia wiki tatu zilizopita huku ukifanikiwa kutazamwa mara 1.6k kwenye mtandao wa Youtube.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad