• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    JB: HUYU NDIYE ATAKAEIFUNGA YANGA KESHO


    MSANII  maarufu wa Bongo Movies Jacob Steven ‘JB ‘ ambae ni shabiki wa kutupwa wa timu ya Simba ametamba kuwa  kikosi chake hakiwezi  kumuangusha  kutokana  na  kuwa na washambuliaji  wenye  uchu ya kufunga.

     Jacob Steven ‘JB’ alisema kuwa,  Simba kwasasa ipo vizuri sana katika safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Ibrahim Ajibu, Laudit Mavugo,  pamoja na Juma liuzio hivyo basi  Yanga lazima atasuburi kwa hawa watu watatu.
    “Mimi naona hiyo mechi tunamfunga Yanga mabao mawili kwa bila huku wafungaji wakiwa ni vijana wanaojituma ili kurudisha heshima ya klabu yetu Simba ambao ni Ajibu na Mavugo,” alisema JB.
    Aidha muingizaji huyo amewambia wapenzi wa Simba kuwa mwaka huu kombe la Ligi kuu Tanzania bara linaenda mitaa ya Msimbazi hivyo tuwasapoti vijana wetu katika mazuri ambayo wanayafanya na pia umoja wetu ndiyo ushindi wetu.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad