PICHA 20: HUYU HAPA MSANII MPYA WA VANESSA MDEE [MDOGO WAKE]
Usiku wa February 17 2017 Mwimbaji Vanessa Mdee aliandika historia mpya katika maisha yake ya muziki, usiku huo ilikuwa ni maalum kwa Vanessa Mdee kumtambulisha msanii wake wa kwanza kutoka katika label yake ya Mdee Music.
Mdee Music jana imemtambulisha Mimi Mars kama msanii mpya na kuitambulisha video yake mpya inaitwa ‘Sugar‘ ambayo itaanza kuoneka wiki ijayo mitandaoni na katika TV stations mbalimbali…. hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio lenyewe





















No comments