• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    PICHA 3: ALIKIBA AKABIDHIWA TUZO YA MTV EUROPE

    Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba leo Johannesburg South Africa amekabidhiwa tuzo yake ya MTV EURO aliyoshinda baada ya tuzo hiyo kutolewa kimakosa kwa Mwimbaji staa wa Nigeria Wizkid.



    November 2016 MTV EUROPE walitoa tamko kwamba tuzo hiyo aliyestahili kupewa alikua ni Alikiba ambaye mpaka muda wa mwisho kwenye utoaji tuzo ndio alikua anaongoza kwa kupigiwa kura nyingi na Mashabiki mitandaoni.
    Baada ya November 2016 kutangazwa kwamba itachukuliwa kwa Wizkid ili apewa Alikiba, leo February 17 2017 ndio Alikiba amekabidhiwa na MTV kwenye mji wa Johannesburg Afrika Kusini ambapo baada ya kukabidhiwa ameongea machache yafuatayo.
    Hii ni Tuzo yetu, tumeipigania na tumeipata…. asanteni sana kwa kunipigia kura, namshukuru Mungu pia kwa baraka zake, familia yangu, Management yangu na mashabiki” – Alikiba

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad