SHAMSA FORD: NAMPENDA SANA GABO ZIGAMBA
Yawezekana kwa filamu kadhaa ulizowahi kuziona zikiwa na waigizaji wawili Shamsa Ford na Gabo Zigamba zikawa ni miongoni mwa filamu zako bora na ukashindwa kujua kilichopo nyuma ya pazia kinachofanikisha ubora na uhalisia wa filamu hizo.
Yawezekana ubora huo unaouona unatokana na wawili hao kuona kama hawaigizi na wako real,kupitia page yake ya Instagram,Shamsa Ford amepost picha akiwa na Gabo Zigamba na kuzipa maneno haya >>’kiukweli ni mwanaume pekee ambae nikiigiza naye huwa nasahau kama nina Igiza na kuhisi ni kweli..namkubali sana huyu mmakonde wangu…@gabozigamba1



No comments