U-HEARD-: NAY WA MITEGO AMKANA MWANAYE ALIYEZAA NA STAA WA MUZIKI
Malalamiko ambayo yanahusiana na huduma za mtoto ambaye anadai kuwa amezaa na rapper Nay wa Mitego, mtoto ambaye mwezi wa 3 mwaka huu anatimiza umri wa miaka 5.
Sister Fey anadai kuwa hapoa awali walikubaliana na Nay wa Mitego kuwa mtoto atamlea yeye mwenyewe na kila hitaji la mtoto ataweza kuliikidhi, ila now mtoto anatakiwa kuanza shule kwasababu umri wa kusoma umefika. Kwahiyo anachohitaji yeye kwa Nay wa Mitego ni kuweza kusaidiana kumsomesha mtoto huyo na si vinginevyo.
Kama umekuwa ukimfuatilia rapper Nay wa Mitego utakuwa unafahamu kuwa rapper huyo ana jumla ya watoto 3, kutokana na kusikika akisema hivyo kwa mara kibao. Lakini idadi hiyo ni pasipo kumjumlisha mtoto huyu ambaye amezaa na Sister Fey.
Unajua ni kwanini Nay wa Mitego huwa hamuhesabu mtoto huyo kama mwanaye? Uhondo wote nimekuwekea kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play kusikiliza sakata lote mwanzo hadi mwisho.
No comments