• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    PICHA 5: BASI LA KAMPUNI YA ILYANA LAPATA AJALI NJOMBE

    Usiku wa jana alhamis basi la kampuni ya ILYANA linalofanya safari zake kutoka DAR ES SALAAM kwenda nyanda za juu kusini yaani SONGEA lilipata ajari mkoani NJOMBE wakati likiwa njiani kutoka DAR kwenda songea sehemu inayojulikana kama KIFANYA mkoani NJOMBE.

    Chanzo cha ajali bado hakijafahamika na idadi ya majeruhi kama wapo au hawapo endelea kuwa jirani nasi ili kujua zaidi kuhusu ajali hiyo

    STAR255.COM Haikuwa nyuma ili kuhakikisha msomaji wetu unapata habari zilizokamilika na kwa uhakika imekuletea picha za tukio zima kutoka njombe





    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad