RAYVANNY: MAISHA YANGU NI MOVIE TOSHA
Msanii wa Bongo Fleva kutoka WCB Rayvanny amefunguka na kuweka wazi tofauti aliyoiona tangia mwaka mmoja aungane na WCB akitokea Tip Top Connection ambako alipokelewa akitokea Mbeya na kusema kuwa maisha yake ni movie kamili kwa jinsi alivyosota mpaka kufikia hapa alipo.
Rayvanny amefunguka na kusema WCB imemjenga kama brand ukilinganisha na mwaka mmoja alivyokuwa Tip Top Connection pia maisha yake ameyalinganisha kama movie tosha.

No comments