• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    RC MAKONDA: MCHEZAJI ATAKAETUMIA MADAWA NAONDOKA NAE


    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na Balozi wa China hapa Tanzania jana March 3 2017 wameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa uwanja wa mpira wa Bandari DSM, uwanja huo utawekwa nyasi bandia.

    Uwanja huo ambao umekuwa maarufu kutumika kwa michezo ya Ndondo CUP na unatarajiwa kutumika tena kwenye michezo hiyo na wakati wa michezo hiyo RC Makonda amesema wachezaji wa Ndondo CUP watapimwa kama wanatumia dawa za kulevya na watakaobainika watachukuliwa.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad