• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    UHEARD: MANFONGO ANYANG'ANYWA GARI YAKE


    Shilawadu wamepenyeza taarifa za mkali wa Singeli afahamikae kama Man Fongo kuwa ametofautiana naG Maker ambaye ndiye alikuwa meneja wake katika kazi zake za kimuziki.
    Shilawadu wakaendambali zaidi na kumfikishia Soudy Brown taarifa za meneja huyo kumnyang’anya gariMan Fongo, gari ambayo Fongo alikuwa akiitumia kwa matembezi yake hapa na pale.
    Soudy Brown akaona ili kukamilisha mchongo inabidi awavutie waya wote wawili na akafanikiwa kupiga nao story,
    Mazungumzo ya Soudy Brown na washkaji hao wawili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini bonyeza play ili uweze kusikiliza mwanzo hadi mwisho.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad