• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    VANESSA MDEE ANOGEWA NA LAMECK DITTO,AMTOLEA MAKAVU JUX







    Vanessa Mdee ambae yupo kwenye mahusiano na Msanii mwenzake JUX huendana wakaachana kutokana na Viashilia kaza wa kaza kwani sasa ni mwezi umepita kila mmoja akiwa bize na mambo yake huku Vanessa akituma jumbe zenye kuashiria kuvunjika kwa penzi lao.
    Kupitia ukurasa wa wake wa Twitter Vanessa Mdee ameandika “Naungana na Lameck Ditto Moyo Sukuma Damu TU!” Akimaanisha moyo wake kwa sasa una kazi moja tuu ya kusukuma Damu na sio kuumia kwa mapenzi,ujumbe kama huu ulitumiwa sana na Wolper kipindi walivyoachana na Harmonize kutoka WCB,So huenda wawili hao penzi lao limefika ukingoni.
    Kwa maana nyingine ni kwamba Kama Vanessa angemmiss Jux basi ujumbe usingekuwa huo bali angetumia wimbo wao waJuu,Acha movie iendelee baki na sisi tutakujuza kila kitu kutoka pande zote mbili.
    Naungana na Lameck Ditto Moyo Sukuma Damu TU!



    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad