VIDEO: MUZIKI YA DARASSA YATUNGIWA MTIHANI CHUONI
Mhadhiri katika chuo cha ustawi wa jamii anayefundisha shahada ya masuala hayo, aliamua kutunga swali la aina yake kwa kuhusisha misemo maarufu kwenye wimbo wa Darassa, Acha Maneno, Weka Muziki. Sikiliza nimekusimulia hapo chini.
USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNELI YETU YA YOUTUBE STAR255 TV ILI USIPITWE NA MATUKIO YA KILA SIKU KWA NJIA YA VIDEO

No comments