Waziri Nape ametamka tamko kupitia mtandao wa kijamii wa twitter kwamba anaomba wanahabari kutulia kwasasa kwa sababu yeye ndiye waziri mwenye dhamana na habari na atatembelea CLOUDS MEDIA GROUP kujua uhakika kwa kilichotokea
No comments