PICHA: JOH MAKINI NA DAVIDO WAKUTANA KUSHOOT VIDEO
Joh Makini kwenye interview zake kadhaa amewahi kupokea maswali mengi sana yanayohusu kolabo kati yake na Mwanamuziki toka Nigeria Davido ambapo stori za wimbo huu kufanyika zilisambaa toka mwaka 2014 Davido alipoletwa na Clouds Media kwa ajili ya tamasha la Fiesta.
Taarifa njema ikifikie kuwa kolabo hiyo kwa sasa iko kwenye hatua za mwisho kwa sababu Joh Makini ameenda kukutana na Davido South Africa kwa ajili ya kushoot wimbo huo ambao haujajulikana lini utatoka rasmi audio pamoja na video yake.
Davido alipost picha kwenye ukurasa wake wa instagramm kama inavoonekana hapa chini akithibitisha kuwa kolabo yao ipo njiani kutoka


No comments