• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    DAYNA NYANGE: NITAMWANIKA MUME WANGU SIO MPENZI WANGU


    Dayna Nyange amefunguka sababu ya kuyaweka siri maisha yake ya mahusiano.

    Muimbaji huyo amesema kuwa amekuwa akifanya hivyo kwa sababu zake binafsi na hata yeye hapendi mpenzi wake amuweke wazi mitandaoni ila atakuja kufanya hivyo kwa mume wake na sio kwa mpenzi.
    “Nimekuwa msiri kwenye mahusiano kwa sababu kadhaa. Nilishasema nitampost mume wangu, kumpost mpenzi wangu au mtu wangu ambaye nipo naye sio kama ndio ishara kuwa nampenda au ananipenda sana na hata yeye sijawahi kumwambia anipost wala sitamani hilo,” amesema Dayna.
    Hitmaker huyo wa Komela ameongeza kuwa haitarudia tena yeye kuwa na mahusiano na msanii mwenzake au mtu yoyote maarufu japo ilishawahi kutokea.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad