• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    DIAMOND NA MOHOMBI KUTOA NGOMA KESHO


    Tulipata nafasi ya kuisikia na kuona performance yake kwenye ufunguzi wa michuano ya kombe la mataifa ya Africa huko nchini Gabon.
    Sasa mkali wa muziki mwenye asili ya nchini Sweeden Mohombi ametusanua kwamba ngoma hiyo inaachiwa rasmi siku ya kesho.
    Ni kupitia ukurasa wake wa twitter ambapo Mohombi ameweza kutangaza kwamba official video ya ngoma hiyo itaachiwa rasmi siku ya Kesho.
    Usikae mbali na STAR255.COM ili kuipata ngoma hiyo kesho

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad