• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    KESI YA WEMA SEPETU MPAKA MARCH 15


    Malkia wa filamu Wema Sepetu Jumatano hii alirudi Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya.

    Kesi hiyo imeahirishwa baada ya upande wa mashtaka kusema upelelezi haujakamilika hivyo kesi hiyo imepangwa kusikilizwa 15 March 2017

    Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yawatuhumiwa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
    Katika upelelezi wa awali ambao ulifanywa na jeshi la polisi, walidai wamekuta msokoto wa bangi nyumbani kwa muigizaji huyo.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad