• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    LULU DIVA: IDRIS SULTAN DUME SURUALI


    Mlimbwende anayekuja juu kwenye industry ya Bongo Fleva Lulu Diva amefunguka kwenye kipindi cha XXL cha Radio Clouds kuwa watu wengi wanamchukulia Kaka yake Idris Sultan kama Dume Suruali. Idris mchekeshaji asiyeishiwa vituko na anayekuja kwa kasi kwenye zone ya Afrika mashariki anapiga mzigo kwenye kituo cha radio cha Choice FM kipindi cha Mji Wa Burudani along Side Feza Kessy na Tee Ze Best. Utata uliibuka pale Number One Tz favourite presenter Adam Mchomvu aliposema hawezi kuwa na ushemeji na Idris Sultan fahamu Lulu na Idris ni mtu na Kaka yake mtoto wa Baba Mkubwa na  Mdogo kabla ya kuzama kwenye mziki Lulu Diva aliwahi kuwa Miss Pwani Mwaka 2007. Siku ya leo Lulu Diva ameachia wimbo wake wa pili unaoitwa USIMUACHE

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad