Mwigizaji Wema Sepetu amerudi tena Mahakamani Kisutu Dar es salaam leo kwenye kesi yake ya sakata la dawa za kulevya baada ya jina lake kutajwa kwenye orodha ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, video ya leo na maelezo kamili tazama hapa chini
No comments