• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    MAAMUZI YA SERIKALI KUHUSU AGNES MASOGANGE


    Mahakama ya Kisutu jijini dar es salaam imemsomea mashtaka yanayomkabili mwanadada Agness Gerald maarufu kama ‘Masogange’ ambaye ni ‘Video Queen’ anayeonekana kwenye video mbali mbali za muziki wa Bongofleva leo baada ya ufikishwa Mahakamani hapo.
    Hata hivyo mara baada ya kusomewa mashtaka hayo mahakamani hapo mtuhumiwa alikana mashtaka, na ndipo Mahakama ikatoa masharti ya dhamana na mtuhumiwa kufanikiwa kuyatimiza.
    Masogange yupo nje kwa dhamana ya shilingi Milioni 10 na hatakiwi kusafiri nje ya Dar es salaam na hadi itakapo sikilizwa tena March 22, 2017.
    Masogange ameshikiliwa kwa siku kadhaa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad