NJOMBE MJI FC RASMI LIGI KUU 2017/2018
Njombe Mji imeifunga Kurugenzi kwa mabao 2-0 katika mechi ya Uwanja wa Wambi mjini Iringa na kufanikiwa kupanda Ligi Kuu Bara.
Ushindi huo, unaifanya Njombe Mji iungane na Lipuli ya Iringa na Singida United kwenda Ligi Kuu Bara.
Njombe Mji imefikisha pointi 22 na kujihakikisha kuanza kuonja utamu wa Ligi Kuu Bara, msimu ujao.
STAR255.COM INAWAPONGEZA NA INAWATAKIA MAANDALIZI MEMA KUUWAKILISHA MKOA WA NJOMBE


No comments