• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    PICHA 4: Simu ya Adolf Hitler inayouzwa, ilitumika vita ya dunia


    Kutana na simu iliyokuwa ikitumiwa na Adolf Hitler wakati wa vita kuu ya pili ya Dunia ambapo sasa hivi inauzwa kwa mnada nchini Marekani, ni simu ambayo ina chapa ya Mjerumani huyo na ilipatikana katika ngome ya Hitler kwneye mji wa Berlin mwaka 1945.
    Kampuni inayosimamia mnada huo iliyoko Maryland Marekani, imesema kuwa shughuli za mnada zitaanza kwa bei ya Dola 100,000 ambazo ni zaidi ya milioni 200 za Kitanzania.






    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad