• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    PICHA 10: HIVI NDIVYO WALIVOPOKELEWA NJOMBE MJI FC

     Timu ya NJOMBE MJI FC kutoka mkoa mpya wa NJOMBE leo ilipokelewa kwa shangwe ya aina yake mara baada ya kuwasili mkoani hapo kwa kufanikiwa kukata tiketi yake ya kucheza ligi kuu TANZANIA BARA msimu ujao.

    Viongozi na mashabiki kwa pamoja walijitokeza kwa wingi kuwapongeza vijana wao kwa kazi kubwa waliyofanya

    STAR255 imekuletea picha za tukio zima hapa








    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad