DIAMOND PLATNUMZ KUWAPELEKA MAHAKAMANI WAMILIKI WA BLOG
Msanii wa Bongo fleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ametisha kuwapeleka mahakamani wamiliki wote wa BLOG ambao watabainika wanapost nyimbo za wasanii wa WCB kinyume na utaratibu waliounzisha wao wa kuuza nyimbo hizo
Pamoja na hilo taarifa zilizotufikia kutoka kwenye vyanzo vyetu vinadai mmoja wa wamiliki wa BLOG BEKABOY alipigiwa simu suala la kupost ngoma ambazo mkali huyo anaziuza kupitia Platfom yake ya wasafi.com na kutishiwa kupelekwa mahakamani kwa kuwa anakosesha mapato ya wasanii nchini kutokana na kusambaza bure nyimbo hizo.

No comments