• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    UHEARD: WEMA SEPETU ATESWA NA MAPENZI


    Jana simanzi ilienea katika mtandao wa instagram baada ya mrembo mwenye nguvu kubwa ya ushawishi,Wema Sepetu kupost picha kwenye page yake ya instagram, picha ambayo ilimuonyesha akiwa katika hali ya simanzi na kuandika caption iliyosomeka kama “Mood”.


    Kitu ambacho kiliwatia simanzi wengi hasa mashabiki zake na kufanya maswali kuwa mengi katika vichwa vyao kujiuliza ni jambo gani limemtia simanzi mrembo huyo.
    Shilawadu hawakubaki nyuma, wakazua story kwamba ni mapenzi ndio ambayo yanamliza mrembo huyo na kudai kwamba huenda ameachwa na aliyekuwa akisemekana kuwa ni mpenzi wake afahamikaye kamaKibabude.
    Soudy Brown amemtafuta Wema Sepetu bila mafanikio na badala yake ameamua kupiga story naKibabude ili kuliweka sawa jambo hili.
    Uhondo kamili nimekuwekea hapa kwenye video hii hapa chini, bonyeza play kusikiliza mwanzo hadi mwisho.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad