• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    DOGO JANJA AMUONYESHA JEURI YA PESA YOUNG KILLER


    Dogo Janja ameonesha jeuri ya fedha. Baada ya kuibiwa baadhi ya vitu kwenye gari lake aina ya Porte rapper huyo amenunua gari jingine jipya.

    Gari hilo la sasa ambalo atakuwa anamiliki Dogo janja ni Raum new model yenye rangi nyekundu. Kupitia mtanda wa Instagram, Madee ameweka picha ya Janja akiwa juu ya gari hilo na kuandika, “Janjaro new car!!! Raum new model!!!.


    Wakati huo huo kuthibitisha kuwa jambo hilo halina utani, hitmaker huyo wa Kidebe ameweka picha hiyo hapo juu kwenye Instagram na kuandika, “Don mess up with BUDABOSS!🔥 ayah umeona dogo @youngkillermsodokii endelea kufuga icho kitoroli chako cha milion mbili…”

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad