• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    UHEARD: MAJIBU YA ALIKIBA KWA JOKATE KUTOKUJA AIRPORT




    Kwenye U-heard ya leo March 3 2017 Soudy Brown ametuletea hii inayomhusu Jokate kutoonekana uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ‘JNIA’ kumpokea Ali Kiba alipotua Bongo na tuzo yake akitokea Johannesburg, South Africa na badal aalitokea  kwenye kwenye Dinner aliyoandaa Alikiba.

    Soud Brown alizungumza na Jokate lakini hakutaka kujibu na badala yake  Soudy aliinukuu Post aliyoiandika katika ukusara wake wa Instagram……..

    >>“Unapotumia siyo nguvu bali akili nyingi kumtengeneza mtu na akafikia mafanikio fulani hivi halafu kitu kingine kikajiweka mbele na kutaka credit zote unasmile kama hivi he he he ukicha waendelee huku ukitafakari maneno kwenye vitabu vitakatifu, wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa  wa kwanza. Maisha ni mzunguko Mungu yu mwema sana”.

    Lakini Alikiba naye alipoulizwa na Soudy alijibu………>>> Joketi si amealikwa, alikuwa mgeni mualikwa sijajua kwa sababu gani hakuja Airport siwezi ku-judge sababu huwezijua  labda alighafilika ila sijajisikia vibaya, ushawahi kunisikia mimi naongea kuhusu masuala ya Mapenzi?”

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad