• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    FAIDA ALIYOPATA MAUA SAMA KWENYE MUZIKI


    Maisha kwa Maua Sama yanakwenda vyema, asante kwa mkwanja anaopata kupitia muziki anaofanya.

    Muimbaji huyo wa ‘Main Chick’ ameeleza kuwa kwa sasa ameshanunua kiwanja kwaajili ya kudodondosha mjengo wake. “Muziki bado naudai sana lakini mwisho wa siku unalipa sababu naendesha maisha yangu sasa hivi, I have my own place, I have bought plots, I have my businesses,” Maua alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times FM.


    Anytime soon naweza nikaanza,” alijibu kuelezea lini mjengo wake unaanza kujengwa.

    Pia amedai kuwa ameaigiza gari lake, Toyota IST New Model.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad