• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    ALICHOPOST RIHANNA KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ


    Kumekuwepo na tetesi mbalimbali kwamba mwanamziki anaefanya vizuri kwa sasa na ngoma yake ya Marry You Diamond Platnumz  kuwa yupo mbioni kutoa album yake ambayo haijawahi kutokea Tanzania hii ni kutokana na kuhusishwa kuwashirikisha wasanii wakubwa kutoka Marekani akiwemo Rick Ross

    Sasa kuhusiana na hilo huenda Diamond Platnumz yupo kwenye harakatai ya kutaka kumshirikisha mwanadada alietamba sana Nchini kupitia wimbo wake wa WORK aliomshirikisha DRAKE hapa namzungumzia Rihanna ambaye hivi juzi alipost kupitia ukurasa wake wa Twitter kwamba yeye msanii wake bora wa Afrika ni Diamond Platnumz

    Hii itakuwa ni hatua nzuri kwa Diamond na watanzania kwa ujumla kuhakikisha mziki wetu unafikia hatua nzuri ulimwenguni

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad