• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    KIKOSI BORA CHA WEEK EUROPA SAMATTA NDANI


    Leo inawezekana ikawa ni siku ya kihistoria kwa staa wa Tanzania anayeichezea timu yaKRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta, nahodha huyo wa Taifa Stars licha ya kufunga goli mbili katika ushindi wa goli 5-2 wa KRC Genk dhidi ya KAA Gent katika mchezo wa 16 bora wa Europa League, amechaguliwa katika kikosi bora cha wiki.

    Samatta ametajwa katika kikosi bora cha wiki cha UEFA Europa League kwa mara ya kwanza katika historia lakini ametajwa pia na staa  mwenzake wa KRC Genk ambaye pia ni nahodha wao msaidizi wa Genk Pozuelo na mchezaji mwenzao Malinovskiy.

    Jina la Samatta linakuwa ni miongoni mwa majina 11 kutoka katika baadhi ya timu 16 ambazo zina zaidi ya jumla ya wachezaji 176, waliyoonekana kufanya vizuri katika usiku wa round ya kwanza wa Europa League hatua ya 16 bora, kwa upande wa Man United staa wao Henrikh Mkhitaryan ndio katajwa katika list hiyo.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad