• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    LADY JAYDEE ATAJA SIKU YA KUACHIA ALBUM YAKE MWEZI HUU


    Baada ya kuwashtua watu kwa ujio wa albamu yake mpya mwezi huu, sasa Lady Jaydee ameweka wazi tarehe ya kuachia albamu hiyo

    Albamu hiyo ambayo ameipa jinala ‘Woman’ inatarajiwa kutoka 31 Machi mwaka huu kwa mujibu wa cover la picha aliloliweka kwenye mtandao wake wa Instagram.
    Ndani ya Woman zinatarajiwa kusikika nyimbo kadhaa ambazo tayari zimeshasikika ikiwemo ‘NdiNdiNdi’, ‘Sawa Na Wao’ na ‘Together Remix’.
    Mwezi ulipita kupitia kipindi cha The Playlist cha Times FM, malkia huyo wa Bongo Flava aliweka wazi kuwa atafanya lauch ya albamu hiyo mwezi huu.

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad