• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    UHEARD: WAFANYAKAZI WA WCB WADAIWA KUFUKUZWA


    Kwenye U-heard ya leo March 16 2017 Soudy Brown ametuletea hii inayohusu lebo ya muziki ya WCB inayodaiwa kuwafukuza kazi baadhi ya wafanyakazi wake kwa kile kilichodaiwa ni hali ngumu ya uchumi.
    Soudy Brown alipomuuliza Babu Tale kuhusu madai hayo alijiyajibu haya ……..>>> “Hamna aliyefukuzwa, tunapofanya kazi lazima kuwe na misingi ya kiofisi na hii ni kazi kama kazi nyingine, kwa hiyo tunaelekezana na hatuwezi kumfukuza Kifesi tumetoka naye mbali, so hizo ni taarifa tu.

    SIKILIZA HAPA CHINI

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad