Hatimaye waziri Nape ametoa maagizo kwa kuunda kamati ya masaa 24 itakayo mfwataRC Makonda Kumsikiliza kwa nini aliamua kuvamia kituo cha CLOUDS usiku na silaha na majibu yatatolewa kwa uwazi mbele ya waandishi wa habari USIKAE MBALI NA WWW.STAR255.COM KUPATA TAARIFA KAMILI PINDI ITAKAPOTOLEWA
No comments