• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    VANESSA MDEE AACHIWA KWA DHAMANA


    Mwimbaji wa BongoFleva Vanessa Mdee amekaa kwenye vichwa vya habari kwenye hizi siku 5 na ni baada ya Polisi kuthibitisha kwamba imemshikilia kutokana na tuhuma za sakata la dawa za kulevya.
    Leo jioni Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kwamba Vanessa Mdee ameachiwa kwa dhamana >>> Ndio, tumempa dhamana wakati tunaendelea na uchunguzi… amepewa aripoti kesho”

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad