• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    VIDEO: SASA UNAWEZA KUTUMA NA KUPOKEA PESA KWA GMAIL


    Sahau kabisa kuhusu M-Pesa,Airtel Money na Tigo Pesa kwani najua ukiwa na Gmail unauwezo wa kutuma ujumbe mfupi, picha na file mbalimbali kwa kutumia programu ya gmail lakini je unaonaje sasa ukiweza kutuma pesa kwa kutumia programu yako ya Gmail ya mfumo wa Android.?
    Habari nzuri ni kwamba Google kupitia programu yake ya Gmail ya mfumo wa Android sasa inakuwezesha kutuma pesa kwa kutumia programu yako ya gmail. Google inakuwezesha kufanya yote hayo kwa kuunganisha na huduma ya Google Wallet ambapo ndio itakuwezesha kutuma pesa pale unapotaka kutuma barua pepe yako.Tamaza video ya kuona jinsi unavyoweza kutuma pesa kupitia akaunti yako ya Gmail
    ANGALIA  VIDEO HAPA CHINI NAMNA YA KUTUMA. PIA COMMENTS CHINI COMMENT YAKO NI MUHIMU SANA

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad