HARMONIZE NA IDRIS SULTAN NDANI YA BIFU ZITO
Siku za hivi karibuni kumezuka stori mpya kuwa mchekeshaji maarufu wa Tanzania Idris Sultan na Star wa muzikin wa Bongo fleva anaekuja kwa kasi katika Industry ya muziki Rajab maarufu kama Harmonize kuwa wawili hao wameingia katika bifu zito na kuanza kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii yaani TWITTER.
Kama kawaida yake Idris sultan huwa anawatania baadhi ya mastaa hapa kwetu Tanzania kupitia mitandao ya kijamii Instagramm na Twitter na kufanya watu wacheke na kufurahi kwa kuwa yeye tayari ni mchekeshaji maarufu nchini.
Kupitia ukurasa wake wa twitter Idris sultan alipost post ambayo ilikuwa kama ni kumlenga Harmonize akaandika "OGOPA RAPA WAKO ANAPOKIKI KULIKO WEWE INABIDI MBADILISHANE WEWE NDIYO UWE RAPA" akimaanisha Hamorapa AKA Kiboko wa mabishoo kuwa kwasasa anahit kuliko Harmonize.
Harmonize naye bila kuchelewa nae akamjibu Idris kwa kupost kuwa "NASIKIA UNALALA MBEZI KWA MWANAUME MWENZIO DAAH.. HURUMA KWANI ULISHINDAGA SHILINGI NGAPI SOUTH..? MBAYA ZAIDI NASIKIA HUNA MARINDA"
Kama hujui maana ya HUNA MARINDA maana yake ni Mwanaume anaepumuliwa
Idris nae akamjibu kupitia ukurasa wa Instagramm kwamba "ACHA NICHEKE NITAFANYAJE SASA KUMPIGA NZI RISASI NITAMUONEA MASIKINI..HUYU NI MAKOFI TUU..#MarindaNimekuwaSketiYaShule
Acha tufuatilie mwisho utakuwa ni wapi usisahu kutupia comment yako hapa chini. Comment yako ni muhimu sana

No comments