PICHA 15: UZINDUZI WA ALBUM YA WOMAN YA LADY JAYDEE
Mwanadada kutoka kwenye Industry ya muziki wa bongo fleva JUDITH WAMBURA maarufu kama LADY JAY DEE jana alifanya uzinduzi wa Album yake ya saba inayokwenda kwa jina la WOMAN. kwenye uzinduzi huo mastaa mbalimbali akiwemo VANESSA MDEE aka CASH MADAME walihudhuria ambapo sisi kama kawaida tumekuletea picha zote za shughuli kama ilivyokwenda
PICHA KWA HISANI YA BONGO5.COM

















No comments