• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    BARAKAH THE PRINCE AINGIA KWENYE BIASHARA YA MBOGA


    Muimbaji wa muziki Barakah The Prince amedai kwa sasa ameamua kuingia kwenye biashara ya kilimo ili kuwa na kipato nje ya muziki.

    Akiongea katika cha kipindi cha Twenzetu cha Times Fm, Barakah amedai nje ya muziki ameamua kijikita kwenye kilimo cha mboga mboga.
    “Nina shamba Morogoro na Tarime,Tarime nimelima Matikiti maji na Morogoro nimelima Vitunguu ,Kabichi na Mboga Mboga , bado sijaanza kuvuna ni shanba ambalo nimelikodisha kama miezi miwili hadi sasa ,Masanja ndio alinishawishi kuingia katika masuala ya kilimo.” alisema Barakah.
    Muimbaji huyo alisema hayo alipotembelea kutuoni hapo kuutambulishwa wimbo wake mpya ‘Acha Niende’ ambapo aliambatana na mpenzi wake Naj

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad