• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    HII NDIYO SABABU YA MR. NICE KUHAMIA KENYA


    Huwezi kuwataja wakongwe waliofanya poa kipindi cha nyuma kwenye muziki wa Bongo FLeva ukaacha kumtaja Mr Nice.

    Kwasababu ni mmoja kati ya wakongwe ambao walifanikiwa kuwa na fanbase kubwa sana kipindi cha nyuma, ila ukweli usiofichika ni kwamba mkali huyo kwasasa hana tena nguvu kama aliyokuwa nayo zamani kwa hapa nchini.

    Star255 imeona sio kesi kama ikimtafuta Mr Nice na kupiga naye story kuhusu muziki wake na mambo mengine kibao. Na tumefanikiwa kuzungumza mambo mengi sana na mkali huyo ikiwa ni pamoja na maisha yake, muziki wake na vitu kama hivyo.

    Mr Nice ameiambia star255 kwamba kwasasa ameamua kuhamishia makazi yake nchini Kenya, kwasababu ndio sehemu ambayo anaona anapata heshima kama msanii tofauti na Tanzania.

    Pia Mr Nice amefunguka kuwa nchini Kenya ndio sehemu ambayo ana mashabiki wengi na muziki wake anaufanya poa kabisa na hata akiwa na show anapiga nyomi

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad