• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    MAUA SAMA ADAIWA KUTOKA KIMAPENZI NA PRODUCER HUYU


    Kitaani kuna tetesi zinazo wahusisha wakali wawili kwenye game ya music nchini Tanzania mmoja akiwa muimbaji na mwingine mtayarishaji.
    Ni hitmaker wa Main Chick Maua Sama na producer wake Emma The Boy, wawili hao wanatajwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi.
    Chuma Chakavu ameamua kuwavutia waya kwenye U-heard ya Jana Ijumaa March 24 na kupiga nao story kuhusu tetesi hizo zilizopo kitaani.
    Maua Sama amefunguka kuwa "mimi sitoki na EMMA tunafanya kazi tuu siku zote ukiwa maarufu na ukiwa jirani na mtu yeyote watu watasema ni wapenzi ila hamna kinachoendelea katikati yetu"
    Emma naye akasema "Sijui chochote kuhusu habari hiyo na kusisitiza kuwa yeye hana mahusiano na MAUA SAMA na huwa anafanya kazi naye za kimuziki hasa kurecord nyimbo zake na sio kingine"

    No comments

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad