• MUHIMU

    NDUGU MSOMAJI WETU ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO/MUZIKI WAKO NASI KWA BEI NAFUU SANA AMBAYO ITAKUFANYA UWIFIKIWE NA WATEJA WENGI NCHINI.PIA TUNATOA HUDUMA ZA BLOG DESIGN NA ANDROID APLLICATION TUPIGIE 0655569428 AU FOLLOW INSTAGRAM @star255com FACEBOOK:sta255 TWITTER: star255_ KARIBUNI SANA.>>

    DAYNA NYANGE ASHINDA TUZO MBILI NIGERIA


    Leo April 5 2017 inaweza kuwa siku nzuri sana katika maisha ya msanii wa Bongo Fleva Dayna Nyange baada ya kushinda tuzo mbili za BAE Awards 2017 nchini Nigeria akishinda Best Vocal Performance Female na Best African Artiste.

    Baada ya kushinda tuzo hizo, Dayna aliamua kushare habari hizo nzuri na mashabiki wake kupitia account yake ya Instagram…>>>“Leo imekuwa siku yangu ya furaha sana sana sana Na ningependa ni washukuru woteeMliokesha mkiniombea, mlikesha mkihamasisha, mlikesha mkinipigia kura. Hatimaye tumefanikiwa kutwaa tuzo zote mbili nchini Nigeria.BEST VOCAL PERFORMANCE FEMALE & BEST AFRICAN ARTISTE.

    “Ahsanteni sana mashabiki zangu, ahsanteni sana Wadau wangu, ahsanteni sana Media zote, watangazaji, waandishi, na ma dj. Ahsante sana producer wangu @mrttouchez shukrani kwa menejiment yangu na wasanii wenzangu.

    “Sote tuliacha kazi na tukafanya kazi moja tu na hatimaye Matunda ni haya.Sijashinda mimi tu @daynanyange bali imeshibda Tanzania na Afrika kwa ujumla
    #JuhudiZimezaaMatunda Mungu awabariki sana.” – Dayna Nyange.

    1 comment:

    1. Casino Slot Machine Locations - Mapyro
      Find your 경주 출장마사지 nearest Casino Slot Machine locations near 인천광역 출장안마 you. 광양 출장마사지 Las Vegas, Nevada, Nevada, 89449. 세종특별자치 출장샵 3 Star Casino Hotel & Resort, Resort, Las Vegas, 태백 출장샵 NV, 89449.

      ReplyDelete

    Post Top Ad

    Post Bottom Ad