RAYVANNY KUACHIA NGOMA LEO
Msanii kutoka WCB wasafi baada ya kutamba na ngoma yake ya NATAFUTA KIKI leo anatarajia kuachia ngoma ambayo ameshirikishwa na msanii BAHATI KENYA kutoka nchini kenya na hilo limethibitishwa na CEO wa WCB Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo aliandika KENYA! I WILL BE EXCLUSIVELY DROPING BRAND NEW HIT BY @bahatikenya ft @rayvanny Today AVAILABLE ONLY wasafi.com Only .DOWNLOAD THE APP NOW.!!
Pia ameeleza kuwa ngoma hiyo itapatikana wasafi.com

No comments